pmbet

Raphinha afunguka ishu ya kocha kumchukia Ansu Fati

Sisti Herman

May 13, 2025
Share :

Baada ya mashabiki wengi wa Barcelona kudhani kuwa kiungo wao Ansu Fati kutopata nafasi ya kucheza ni kutokana na kuchukiwa na kocha wa klabu hiyo Hans Flick, nahodha wa Barca Raphinha amekanusha uvumi kwamba Hansi Flick ana chuki na Ansu Fati. 
 


Katika mahojiano, Raphinha alisema kuwa Flick anaonyesha kumjali Fati, akisema kwamba wakati mwingine Flick humwita na kumwambia, "Mwambie Ansu nisizungumze naye, sio kwamba simtaki, ni kinyume chake." Raphinha aliongeza kuwa Flick anajaribu kufuatilia maendeleo ya Fati ingawa Fati hapati nafasi nyingi za kucheza kwa sasa.

Hata hivyo, kuna maoni tofauti kwenye mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya watu wanasema Flick anaweza kuwa amepoteza imani na Fati, lakini hizi ni kelele za mtandaoni na hazijathibitishwa na taarifa za moja kwa moja kutoka kwa Flick.mwenyewe. Hakuna ushahidi 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet