pmbet

Ratiba ya Ligi Kuu 2024/25, Yanga na Simba kuanza na hawa

Joyce Shedrack

August 9, 2024
Share :

Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetoa ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2024/25 ambayo itaanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 16 kwenye viwanja mbalimbali nchini huku timu zote 16 zikishuka dimbani.

Kwenye raiba hiyo timu kongwe Simba na Yanga zitapishana mikoa ambapo kwenye mechi 5 za mwanzo kwa kila timu Simba itaanza na mechi 3 nyumbani huku Yanga ikianza na mech 3 ugenini.

Hizi ni mechi 5 za mwanzo za Simba

1. Simba vs Tabora United (nyumbani)
2. Simba vs Fountain Gate (Nyumbani)
3. Tanzania Prison vs Simba (Ugenini)
4. Azam vs Simba (Ugenini)
5. Simba vs Namungo (Nyumbani)

Hizi ni mechi 5 za mwanzo za Yanga

1. Kagera Sugar vs Yanga (Ugenini)
2. Kengold vs Yanga (Ugenini)
3. Yanga vs JKT Tanzania (Nyumbani)
4. Yanga vs Mashujaa (Nyumbani)
5. Singida Black Stars vs Yanga (Ugenini)

Je ratiba ya timu yako ipoje?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet