pmbet

Ratiba ya Simba CAF hii hapa

Sisti Herman

October 7, 2024
Share :

Baada ya wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la shirikisho barani Afrika, klabu ya Simba SC kupangwa Kundi A lenye timu vigogo wa Soka la Afrika kama CS Sfaxien kutoka Tunisia, CS Constantine ya Algeria na FC Bravos ya Angola.

Hii ndiyo ratiba ya Simba kwenye hatua ya Makundi ya kombe la shirikisho Afrika msimu huu;

28.11.24: Simba v Bravos Do Maquis
08.12.24: CS Constantine v Simba
15.12.24: Simba v CS Sfaxien
05.01.25: CS Sfaxien v Simba
12.01.25: Bravos Do Maquis v Simba
19.01.25: Simba v CS Constantine

Droo hiyo imechezeshwa mchana wa leo na Shirikisho la Soka Afrika CAF nchini Misri katika Jiji la Cairo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet