pmbet

Sasa ataitwa 'Sir David Beckham'

Sisti Herman

June 6, 2025
Share :

 

Mchezaji nguli wa zamani wa Uingereza, Manchester United na Real Madrid David Beckham mwenye umri wa miaka 50, atatunukiwa heshima ya kuitwa "Sir" baada ya kuwepo katika orodha ya watu mashuhuri watakaotunukiwa Heshima ya Kifalme Siku ya Kuzaliwa ya Mfalme wa Uingereza Charles wiki ijayo.

Beckham aliwekwa mbele kwa ushujaa kwa mara ya kwanza mnamo 2011 baada ya kusaidia kupata Olimpiki ya London 2012 na sasa atapewa heshima ambayo amekuwa akiiwinda kwa zaidi ya muongo mmoja sasa.

Kuanzia hapo Beckham ataitwa 'Sir David Beckham'.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet