Siku kama ya leo Fergie aliondoka na Makombe yake United
Sisti Herman
May 8, 2025
Share :
Historia: Siku kama ya leo miaka 12 iliyopita aliyekuwa kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson alistaafu rasmi kuifundisha klabu hiyo baada ya kuiongoza kwa zaidi ya miaka 26.
Akiwa na United Fergie aliwangoza kwenye;
◉ Michezo 1,500
◉ ushindi mara 895
◉ Kutwaa Mataji 38
Tangu wakati huo, United haijatwaa tena taji la Ligi Kuu Uingereza.
Anatajwa kuwa kocha bora wa muda wote kwenye historia ya mpira wa miguu.