pmbet

"sikudhani nitafikisha miaka 37 bila kuwa na mpenzi" Jason Derulo.

Joyce Shedrack

January 20, 2026
Share :

Mwanamuziki Jason Derulo kutoka Marekani kwenye mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni ameweka wazi kuwa hajawahi kufikiria kuwa atafikisha miaka 37 akiwa hana mpenzi jambo ambalo kwa sasa ana umri huo na hayupo kwenye mahusiano.

Alipoulizwa sababu alidai kuwa kwasasa yeye hawezi kutulia na mwanamke mmoja lakini pia alijifunza na kuona mengi kwenye mahusiano yake ya nyuma, hivyo kwa sasa haoni sababu ya kuwa kwenye mahusiano huku akitaja kazi yake kuwa sababu mojawapo.

 

Ikumbukwe Derulo hajawahi kuweka wazi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwingine baada ya kuachana na mama wa mtoto wake Jena Frumes mwaka 2021.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet