Simba kuwakosa Hamza na Kagoma leo dhidi ya Prison
Sisti Herman
October 22, 2024
Share :
Baada ya kuumia kwa nyakati tofauti kwenye mchezo wa dabi ya Kariakoo leo, Kikosi cha klabu ya Simba kinategemea kuwakosa nyota wake wawili Abdulrazak Hamza na Yussuph Kagoma kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa hapo baadae.
Kikosi cha klabu ya Simba tayari kipo jijini Mbeya kucheza mchezo huo wa ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa kwenye dimba la Kumbukumbu ya Sokoine.