pmbet

Simba yapitisha fagio kwa nyota 7 akiwemo Moussa Camara.

Joyce Shedrack

July 16, 2026
Share :

Kabu ya Simba imetangaza rasmi kuachana na wachezaji wao saba akiwemo golikipa wa aliyekuwa majeruhi Moussa Pinpin Camara.

Wachezaji wengine ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao ni;
Chamou Karaboue.
👋 Naby Camara.
👋 Edwin Balua.
👋 Joshua Mutale.
👋 Awesu Awesu.
👋 Omari Omari.
👋 Moussa Camara.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet