Simba yavuna alama tatu kwa mikwaju ya penati dhidi ya Mashujaa.
Joyce Shedrack
May 2, 2025
Share :
Mnyama amevuna alama zote tatu dhidi ya Mashujaa akitoka nyuma kwa goli 1 hadi kupata magoli 2 kwa mikwaju wa penati kipindi cha pili.
Magoli ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na Lionel Ateba.