pmbet

Siogopi kifo, naogopa umaskini - Peter Okoye

Eric Buyanza

December 5, 2025
Share :

Mwanamuiziki maarufu wa Nigeria, Peter Okoye, anayejulikana pia kama Mr P, ameweka wazi kuwa katika maisha yake haogopi kifo bali hofu yake kubwa ni umaskini.

 

“Siogopi kifo, kitu pekee ninachokiogopa katika maisha haya ni umaskini na kufeli” alisema msanii huyo ambaye yeye na ndugu yake Paul Okoye waliwahi kuunda kundi maarufu la P-Square.

 

Peter anakumbuka tukio la utotoni wakati wazazi wake walipokodi chumba kimoja walichokuwa wakiishi familia nzima na ghafla siku moja ikaja kubomolewa wao wakiwa ndani baada ya mwenye nyumba kuuza kiwanja, hiyo ni moja ya sababu pia inayomfanya auogope sana umaskini.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet