Ssebo wa EFM afariki dunia
Sisti Herman
March 11, 2026
Share :

Mkurugenzi wa Uzalishaji na Biashara wa EFM & TVE Denis Ssebo Busulwa, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Muhimbili.
Kupitia mitandao yake ya kijamii Mkurugenzi Mtendaji wa EFM & TVE @majizzo, amendika:
"Kwa moyo mzito na machozi mengi, nasikitika kutangaza kifo cha rafiki, kaka, aliyekuwa msimamizi wa ndoa yangu, na mfanyakazi mwenzangu aliyeitumikia EFM na TVE kwa nguvu zake zote, ndugu yangu Ssebo"
"Ssebo amefariki usiku huu katika hospitali ya taifa Muhimbili"
"Kwa sasa mturuhusu kuaanda taratibu zote zinazohusiana na msiba huu wa Ghafla, ambao kwa kweli siwezi kuuelezea. Taarifa zaidi tutazitoa baadae"
"Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe"





