pmbet

Stumai mfungaji bora Ligi kuu wanawake

Sisti Herman

May 20, 2025
Share :

Baada ya leo Ligi kuu wanawake Tanzania kufikia tamati na JKT Queens kutawazwa kuwa Mabingwa wapya, mshambuliaji wa timu hiyo Stumai Abdallah ameibuka kinara kwenye ufungaji wa magoli akiwazidi mastaa wengine baada ya kuweka nyuvuni mabao 27 huku akiwa na tofauti ya magoli 4 na anayefuatia.

 



Hii hapa orodha ya walioongoza kwa kufunga mabao mengi kwenye ligi hiyo;

1. Stumai Abdallah, JKT Queens - 27
2. Jentrix Shikangwa, Simba Queens - 23
3. Neema Paul, Yanga Princess - 12
4. Winfrida Gerald, JKT Queens - 11
5 Janine Mukandayisenga, Yanga Princess -11

Stumai ametwaa rasmi kiatu cha dhahabu huku pia akitajwa kuwa wanaopewa zaidi nafasi ya kuwa MCHEZAJI BORA WA MSIMU (MVP).

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet