Suala la kugombea Ubunge, nitaliamua Bunge likivunjwa - Halima Mdee
Eric Buyanza
May 24, 2025
Share :
“Uchaguzi ni Oktoba na michakato ya uchaguzi inaanza bunge likivunjwa, Chama ambacho nipo mpaka sasa wamesema wao hawashiriki mpaka mabadiliko yafanyike”
“Kama ninagombea inategemea kuanzia sasa mpaka bunge likivunjwa nitagombea kwa utaratibu upi ama vilevile kama sitagombea nitatoa uamuzi wangu kama sitagombea”
“Mimi sio muumini vilevile katika kususa kwa sababu kususa vilevile hakusaidii kwa sababu inategemea na huyo unaemsusia yeye ana akili gani” Halima Mdee
Chanzo: BBC