pmbet

Taifa Stars yapewa alama tatu dhidi ya Congo.

Joyce Shedrack

May 17, 2025
Share :

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepewa pointi tatu dhidi ya Congo Brazzaville katika mechi za mchujo za Kombe la Dunia 2026 baada ya FIFA kuiondolea nchi hiyo adhabu ya kufungiwa. 

Februari Congo ilifungiwa na FIFA kujihusisha na michuano ya Kimataifa baada ya Serikali ya Nchi hiyo kuingilia masuala ya soka na sasa adhabu hiyo imeondolewa.

Mechi hiyo kati ya Congo Brazzaville na Tanzania ilitakiwa kuchezwa mwezi Machi, lakini haikufanyika baada ya nchi hiyo kufungiwa.

Taifa Stars sasa imefikisha alama 9 ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Kundi E nyuma ya kinara Morocco mwenye alama 15 huku Niger na Zambia wotw wakiwa na alama 6.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet