pmbet

Thabo Mbeki atumia SGR safari ya kwenda Morogoro

Eric Buyanza

May 23, 2025
Share :

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki ametembelea eneo la kihistoria la Mazimbu, lililoko mkoani Morogoro ikiwa ni katika Maadhimisho ya Siku ya Afrika ambayo huadhimishwa Mei 25 kila mwaka.

Ziara hiyo maalum imebeba uzito mkubwa wa kihistoria na kiishara, ikikumbusha mchango wa Tanzania katika harakati za ukombozi kwa Afrika Kusini wakati wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo.

Mbeki amesafiri kwa kutumia Treni ya Kisasa ya SGR kuelekea Morogoro kwa ajili ya kutembelea eneo hilo lenye historia ya kipekee.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet