pmbet

Trump ashambuliwa kujifananisha na Papa

Sisti Herman

May 4, 2025
Share :

 

Rais wa Marekani Donald Trump amekosolewa na baadhi ya Wakatoliki baada ya kuweka picha ya akili bandia (AI) inayomuonyesha akiwa Papa.

Picha hiyo iliyotumwa kwenye akaunti za mitandao ya kijamii ya Ikulu ya Marekani, inakuja wakati waumini wa Kanisa Katoliki wakiomboleza kifo cha Papa Francis, aliyefariki Aprili 21 mwaka huu wakijiandaa kumchagua Papa mpya.

Picha ya Trump siku ya Ijumaa usiku inamuonyesha akiwa amevalia vazi jeupe na kofia kichwani, ambayo kwa kawaida huvaliwa na Askofu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet