Viongozi wa Afrika waliopo madarakani kwa muda mrefu
Sisti Herman
June 16, 2025
Share :
Viongozi wa Afrika waliopo madarakani kwa muda mrefu zaidi;
1. Teodoro Obiang, Guinea ya Ikweta (miaka 42)
2. Paul Biya, Cameroon (miaka 42)
3. Yoweri Museveni, Uganda (miaka 39)
4. Isaias Afwerki, Eritrea (miaka 32)
5. Paul Kagame, Rwanda (miaka 25)