Vitinha ampa tuzo yake mbaya wa Arsenal
Sisti Herman
April 30, 2025
Share :
Licha ya kutangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi (POTM) kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal, kiungo wa PSG, Vitinha, ameonesha unyenyekevu wa hali ya juu kwa kumkabidhi ππππ£π‘πͺπππ πΏπ€π£π£ππ§πͺπ’π’π tuzo hiyo na kumtaja kuwa βthe real MVP.β
Vitinha aliibuka na kiwango bora katikati ya uwanja, lakini macho ya wengi yalikuwa kwa Donnarumma ambaye alifanya maajabu langoni kwa kuokoa mashambulizi hatari ya Arsenal, na kumuwezesha PSG kupata matokeo muhimu kuelekea fainali.
βNimepewa tuzo, lakini huyu hapa ndiye mchezaji bora wa kweli. Bila yeye, hatungekuwa hapa,β alisema Vitinha akimkabidhi Donnarumma tuzo hiyo kwa heshima kubwa.
Kipa huyo wa Kiitaliano alionesha kiwango cha juu ikiwa na pamoja nan kufanya saves 5 .