pmbet

Wachezaji 5 wanaoweza 'kuikomboa' Man United kwa mujibu wa Scholes

Eric Buyanza

November 7, 2026
Share :

Kiungo gwiji wa Manchester United, Paul Scholes, ametaja orodha ya wachezaji watano mashuhuri barani Ulaya ambao angependa Man United iwasajili ili kuirudisha kwenye chati za juu klabu hiyo ambayo imekuwa ikichechemea kwa muda mrefu sasa.
 

Akizungumza kwenye podcast ya The Good, The Bad & The Football, Scholes alieleza kuwa ingawa ni ngumu sana kuwapata wachezaji hao kutoka klabu zao za sasa, lakini ndio chaguo sahihi la kuleta mabadiliko ya haraka Old Trafford.

 

Hii hapa ndio orodha Scholes;
 

1. Gabriel Magalhães (Arsenal)

2. Jude Bellingham (Real Madrid)

3. Michael Olise (Bayern Munich)

4. Kylian Mbappé (Real Madrid)

5. Declan Rice (Arsenal)

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet