pmbet

Yanga kucheza na Rayon Sports June 15

Sisti Herman

June 1, 2025
Share :

Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo.

 


Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda.

Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa kucheza mechi dhidi ya watani wao Simba mechi iliyoahirishwa Machi 8, 2025.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet