Yanga kushirikiana na Safari Lager kusaka vipaji
Sisti Herman
May 7, 2025
Share :
Klabu ya Yanga imeingia makubaliano maalum na kampuni ya bia ya Safari Lager kuwa washirika rasmi wa Safasrii Lager Cup ambayo ni mashindano maalum ya kusaka vipaji nchini.
Yanga wametangaza hatua hiyo leo kwenye uzuianduzi wa mashindano hayo kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es salaam.
Kwenye uzinduzi huo, klabu ya Yanga imeongozwa Afisa Mtendaji wao Mkuu Andre Mtine.