pmbet

Yanga na JKT yasogezwa mbele

Sisti Herman

May 12, 2025
Share :

Mchezo wa Ligi kuu wanawake kati ya JKT Queens dhidi ya Yanga Princess iliyopangwa kuchezwa leo kwenye dimba la Maj. Jen. Isamuhyo imesogezwa mbele kuchezwa kutokana na sababu ya uwanja wa huo kufungwa kupisha maboresho kwaajili ya michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika nchini hivi karibuni.

 



Uwanja huo ni mmoja kati ya viwanja vilivyo chaguliwa kwaajili ya Timu shiriki za CHAN 2025 kufanya mazoezi.

Hivyo tarehe rasmi za michezo ijayo ya JKT Queens ni kama ifuatavyo.

🔘 JKT Queens Vs Yanga Princess
🏟 KMC Stadium, Mwenge.
📅 Tarehe 14 Mei, Jumatano
⏰️ Saa 10:00 Jioni.

🔘 JKT Queens Vs Fountain Gate Princess
🏟 KMC Stadium, Mwenge.
📅 Tarehe 17 Mei
⏰️ Saa 10:00 Jioni.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet