pmbet

Yona Amos kwenye mawindo ya Simba.

Joyce Shedrack

December 26, 2025
Share :

Klabu ya Simba inaripotiwa kuaangalia uwezekano wa kunasa saini ya  golikipa wa Pamba JIJI Yona Amos wakati wa dirisha dogo la usajili ili kuchukua nafasi ya mlinda mlango Yakoub Suleiman ambaye amepata majeraha akiwa na timu ya Taifa.

Yona Amosi apata mtetezi Bara | Mwanaspoti

Simba wanalazimika kusajili golikipa mwingine kutokana na magolikipa wote wawili kupata majeraha ambayo yatawaweka nje ya uwanja muda ambao timu itakuwa na michezo ya muhimu.

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet